Wananchi wa kata ya Manda Ludewa wakimfuta jasho mbunge wao Deo Filikunjombe kama kumpongeza kwa utekelezaji mzuri wa ahadi na uwakilishi uliotukuka bungeni |
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe akiwa amebebwa na mpiga kura wake kama kumpongeza kwa utendaji wake mzuri |
Mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe akifurahia baada ya kupongezwa kwa kubebwa mgongoni na mpiga kura wake |
Mbunge Filikunjombe kati akipokea zawadi ya mbuzi kutoka kwa mkazi wa manda huku mkewe Habiba akishukuru (picha na Blogu ya Francis Godwin) |
0 comments:
Post a Comment