Chief Judge wa Shindano la “MO Kids Got Talent”, Salma Mziray, akitoa maoni yake kwa baadhi ya washiriki wa usaili wa shindano hilo uliofanyika kwenye hotel ya Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar es Salaam. Kulia ni Jaji Neema Theobald na kushoto ni msanii wa filamu nchini Hidaya Njaidi wakiwa meza kuu.
Pichani juu na chini ni baadhi ya washiriki wakionyesha vipaji vyao mbele ya majaji.
Binti huyu kipaji chake ilikuwa ni kuimba taarab.
Mambo ya Alingo nayo yalihusika.
Hapo sasa twende kazi…..!!!
Majaji wa shindano la “MO Kids Got Talent” wakishuhudia kipaji cha mmoja wa watoto wanaojua kuogelea akijitosa kwenye bwawa la kuogelea lililopo Ledger Plaza Bahari Beach jijini Dar.
Chief Judge, Salma Mziray, akizungumza na mmoja wa washiriki kabla ya kuonyesha kipaji chake.
Pichani juu na chini ni baadhi ya watoto walioshiriki usaili huo hawakuondoka mikono mitupu walipewa zawadi ya madaftari pamoja na sabuni ya Unga ya kufulia MO Detergent.
Meneja Mkuu Ledger Plaza Bahari Beach, Wissem Souifi (kulia) pamoja na Afisa Mtendaji Mkuu wa Fros Africa, Bw. Peter Sekasiko (katikati) wakijumuika na wazazi pamoja na familia zao kwenye fukwe za hoteli ya Ledger Plaza, Bahari Beach jijini Dar leo.
0 comments:
Post a Comment