Mwimbaji wa muziki wa injili Rose Muhando akiimba huku a kicheza na mmoja wa watoto waliofika kwenye tamasha la krismas lililofanyika kwenye uwanja wa Mkwakwani leo likishirikisha waimbaji mbalimbali wa muziki wa ijnili, Tamasha hilo ni mwendelezo wamatamasha ya pasaka yanayofanyika katika mikoa minne ya Dar es salaam, Morogoro, Tanga, Arusha na Dodoma yakiandaliwa na kampuni ya Msama Promotion ya jijini Dar es salaam inayoongozwa na mkurugenzi wake Bw. Alex Msama, Tamashi hilo kesho litarindim ajijini ArushaMwimbaji wa muziki wa injili Rose Muhando akiimba na watoto jukwaani kwenye tamasha la Pasaka uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga leo.Mwimbaji wa muziki wa injili Rose Muhando akicheza na wacheza shoo wakeMwimbaji wa muziki wa injili Rose Muhando akiimba na mwimbaji mwenzake wa muziki huo Bony Mwaitege na kulia ni Jaji mstaafu John Mkwawa naye akitimbilika na nyimbo za injili.Jaji mstaafu John Mkwawa naye akizungmuza machache kama mgeni rasmi katika tamasha hilo Mwimbaji wa kimataifa kutoka nchini Zambia Bw. Ephraim Sekereti akiimba pamoja na waimbaji mwenzake Bony Mwaitege kushoto na Edson Mwasabwite katikati kwenye tamasha la Pasaka uwanja wa Mkwakwani Tanga.Bony Mwaitege naye akikamua na wacheza shoo wakeUpendo Nkone na Bony Mwaitege wakifanya vitu vyao jukwaani.Upendo Nkome akicheza huku akiimba na wacheza shoo wake.
Home
»
»Unlabelled
» TAMASHA LA KRISMAS MKOANI TANGA
Sunday, December 29, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment