Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail na soccerstand.com
Tel: 0712461976 au 0764302956
KOCHA wa Liverpool, Brendan Rodgers amesisitiza kuwa klabu yake haina wasiwasi katika mchezo wa leo dimba la Etihad dhidi ya Manchester City, japokuwa kiungo wa City , Yaya Toure anaamini kuwa Ulaya nzima inamwogopa Manuel Pellegrini na uwezo wake wa kufunga mabao mengi.
Man City wanakabiliana na vinara wa ligi kuu soka nchini England siku ya leo maarufu kama `Boxing Day` na tayari wameshafunga mabao 50 katika uwanja wao wa Etihad katika mashindano yote msimu huu.
Rodgers ambaye timu yake ilishika usukana wa EPL siku ya krismasi kwa mara ya kwanza kutoka 2008, amesema anajua watu wengi wanawapa uwezo wa kufunga mabao mengi Man City katika mchezo wa leo, lakini watahakikisha wanaonesha kazi nzito katika kipute cha leo na kuzima ndoto za watu wengi.
Ana kazi ya kufanya: Luis Suarez aliyeko katika kiwango cha juu zaidi kwa sasa, ataongoza mashambulizi ugenini dhidi ya Man City na kocha wake Brendan Rodgers amesisitiza kuwa vinara wa EPL, klabu ya Liverpool haina wasiwasi kabisa
Wote mnaogopa: Yaya Toure amesema Manchester City inaogopwa ulaya nzima kwa uwezo wao wa kufunga mabao mengi
Amerudi golini: Kipa namba moja wa England, Joe Hart anatarajiwa kusimama lanogoni leo kuisadia Man City mbele ya Liverpool
RATIBA NZIMA KWA MECHI ZA LEO LIGI KUU SOKA NCHINI ENGLAND (EPL) NI KAMA IFUATAVYO;
England: Premier League
26/12 15:45
|
Hull
| - |
Manchester United
| |||||||
26/12 18:00
|
Tottenham
| - |
West Bromwich Albion
| |||||||
26/12 18:00
|
Norwich
| - |
Fulham
| |||||||
26/12 18:00
|
Newcastle United
| - |
Stoke
| |||||||
26/12 18:00
|
West Ham
| - |
Arsenal
| |||||||
26/12 18:00
|
Everton
| - |
Sunderland
| |||||||
26/12 18:00
|
Chelsea
| - |
Swansea
| |||||||
26/12 18:00
|
Cardiff
| - |
Southampton
| |||||||
26/12 18:00
|
Aston Villa
| - |
Crystal Palace
| |||||||
26/12 20:30
|
Manchester City
| - |
Liverpool
|
0 comments:
Post a Comment