Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Zanzibar Dr Ali Mohamed Shein na Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali wakiwapongeza wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya katibaMbaada ya makabidhiano ya Rasimu ya pili ya Katika katika viwanja vya Karimjee Hall jijini Dar es salaam
Picha ya pamoja na wajumbe wa tume
Mazungumzo na Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba na wa NCCR Mageuzi Mhe James Mbatia
0 comments:
Post a Comment