Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais wa Taasisi ya Kimataifa ya
Kuhudumia Waathirika wa Dawa za kulevya na UKIMWI iitwayo Medicins Du
Monde – Harm Reduction Programe alipofika na ujumbe wake Ikulu jijini
dar es salaam leo.
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment