Rais
Francois Hollande wa Ufaransa akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho
Kikwete jijini Paris kwenye mkutano unaohimiza kukuza ushirikiano wa
kiuchumi kati ya Ufaransa na Afrika.Akizungumza katika mkutano huo Rais
Kikwete alisema kuwa mbali na kuwa bado bara la Afrika linahitaji misaada ya uchumi nchi zilizoendelea lazima ziwekeze mitaji katika nchi za kiafrika.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Francois Hollande wa Ufaransa,Rais
Allasane Ouatarra wa Ivory Coast na Rais Mac Sall wav Senegal wakiwa
katika mkutano wa ushirikiano wa kiuchumi kati ya Afrika na nchi za
kiafrika(picha na Freddy Maro)
0 comments:
Post a Comment