Ofisa Uratibu na. Matekeleazo wa CHF Bw. Nicholaus Mwangomo akitoa maelezo ya jinsi mfuko huo unavyotoa matibabu kwa watu waliojiunga kupitia halmashauri mbalimbali za wilaya nchini na faida zake kwa wananchi wakati wa mkutano wa wana VICOBA mbalimbali iliyofanyika kwenye ukimbi wa Princes Sinza Mapambano leo, mkutano huo ulianza jana na unaendelea leo kwenye ukumbi huo.Wana VICOBA wanaoshiriki katika mkutano huo wakimsikiliza Ofisa Uratibu na. Matekeleazo wa CHF Bw. Nicholaus Mwangomo wakati akitoa somo la hudumza za afya kwa washiriki hao.Grace Michael mmoja wa maofisa wa Mfuko wa bima ya Afya NHIF akiwa katika mkutano huo.washoriki wa mkutano huo wakifuatilia mada mbalombali zilizokuwa zikitolewa na wataalam hao.
Home
»
»Unlabelled
» NHIF YATOA SOMO KWA WANA VICOBA
Saturday, December 14, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment