MZEE ALI HASSAN MWINYI AZINDUA ASASI YA CHRF JIJINI DAR ES SALAAM Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Alli Hassan Mwinyi akizungumza wakati akizindua Asasi ya CHRF ambayo inajishughulisha na masuala ya amani nchini uzini kwenye uzinduai uliofanyika katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo katika picha kulia ni Bw. Anganile MwankupiliMakamu Mwenyekiti wa CHRF na katikati ni Balozi Ibrahim Kaduma mlezi wa asasi hiyo,Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Alli Hassan Mwinyi akizungumza wakati akizindua Asasi ya CHRF ambayo inajishughulisha na masuala ya amani katika picha kushoto ni Mama Thabita Siwale mjumbe wa Sekretarieti ya CHRF na katikati ni Dr. Leonard Mbilinyi Mwenyekiti wa CHRF.Mama Thabita Siwale mjumbe wa Sekretarieti ya CHRF akizungumza katika uzinduzi huo.Baadhi ya wageni waalikwa wakiwa katika uzinduzi huo.Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Alli Hassan Mwinyi akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Asasi ya CHRF wakati alipowasili kwenye ukumbi wa Karimjee kwa ajili ya kuzindua asasi hiyo leo. Rais Mstaafu wa awamu ya pili Mzee Alli Hassan Mwinyi akizungumza akisalimiana na Sammy Zanny Mratibu wa asasi hiyo.Waratibu wa Asasi ya ya CHRF wakifuatilia mambo kadhaa wakati wa uzinduzi wa Asasi hiyo kushoto ni Sammy Zanny na Anyisile Kyoso.
0 comments:
Post a Comment