Friday, December 13, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sporstmail
Tel: 0712461976 au 0764302956
KOCHA Jose Mourinho amekiri kuwa washambuliaji wake Demba Ba na Fernando Torres hawana kiwango bora kama Sergio Aguero au Luis Suarez.
Bosi huyo wa Chelsea alisema: ‘Baadhi ya washambuliaji  wanacheza kwa kiwango cha juu na wanaonesha vipaji binafsi na wanaweza kufanya kile ambacho timu  zao haziwezi kufanya. Washambuliaji wetu hawana ubora kama huu au umuhimu`..
‘Siwakosoi hawa jamaa kwasababu wanafanya kazi nyingine. Uwezo wao wa kufunga ni mdogo na unawaumiza kicha wao na mimi pia, lakini mchango wao kwa timu ni mzuri`.
Swipe: Jose Mourinho has not been impressed by the form of his three misfiring strikersHawana lolote?: Jose Mourinho hafurahishwi na kiwango cha washambuliaji wake watatu 
 Washambuliaji watatu wa Chelsea, Torres, Ba, Eto`o wameshindwa kumfurahisha  kocha wao Jose Mourinho
 Mreno huyo alikatishwa sana tamaa na washambuliaji wake baada ya kupoteza nafasi nyingi katika mchezo wa ligi kuu waliolala bao 3-2 dhidi ya Stoke City.
‘Washambuliaji wengine(Aguero na Suarez) wanacheza kwa nguvu na kuonesha kiwango binafsi, wanapiga chenga, wanapiga mashuti langoni, wapo imara  na wanaendana na kasi ya mpira. wanatatua matatizo kiukweli`. Alisema Mourinho.
`Hatuna washambuliaji wa aina hii na nataka wafanye kazi tofauti na sasa`. 
“Nahitaji zaidi?, ndiyo. Tunataka zaidi?, ndiyo. Lakini tusitarajie Demba  au  Fernando kucheza soka kama Sergio Aguero au Luis Suarez, kupiga chenga na kufunga kwa ubora” Alisema Mourinho.’
Goal shy: Jose Mourinho watches over Fernando Torres during a training session at CobhamAnaogopa nyavu nini?: Jose Mourinho akimuangalia  Fernando Torres wakati wa mazoezi uwanja wa Cobham

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video