Saturday, December 14, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
Tel: 0712461976 au 0764302956
KIPIGO siku zote kinavuruga!!. Baada ya Arsenal kuburuzwa kwa kipigo cha mabao 6-3 kutoka kwa Manchester City, Wachezaji wawili wa klabu hiyo raia wa Ujerumani, Per Mertesacker na Mesut Ozil wamepigana mkwara mzito wakati wakitoka nje ya uwanja wa Etihad.
Mertesacker alimuwakia vikali Ozil ambaye ni rafiki mkubwa katika soka na kumnyooshea kidole kiungo huyo baada ya kipenga cha mwisho kupulizwa.
Hali hiyo imetokea baada ta Ozil kushindwa kuwapungia mkono wa heshima mashabiki wa Gunners waliosafiri ugenini.
Wakati wawili hao wakizozana, kocha mkuu wa klabu hiyo, Arsene Wenger alicheka tu na kusema: “Waache Wajurumani, watamalizana wenyewe, msijali”.
Mabao ya City yamefungwa na Sergio Aguero dakika ya 14, Alvaro Negredo dakika ya 39 Fernandinho mawili dakika za 50 na 88 David Silva dakika ya 66 na Yaya Toure dakika ya 90.
Theo Walcott alirejea uwanjani kwa mara ya kwanza leo tangu Septemba na kufanikiwa kutundika nyavuni  mabao mawili ya Arsenal dakika za 31 na 63, wakati lingine lilifungwa na beki Per Mertesacker dakika ya 90.
Pointing the finger: Per Mertesacker (right) explodes at Mesut Ozil following Arsenal's 6-3 defeat against Manchester CityAkimnyooshea kidole, acha mambo yako mwana!:  Per Mertesacker (kulia) akimuwakia  Mesut Ozil baada ya kula kipigo cha mabao  6-3 kutoka kwa Manchester City
Boiling over: Mertesacker continues to rage against his close palAcha hizo!: Mertesacker akiendelea kumuwakia rafiki yake mkubwa katika soka 
Setting an example: Jack Wilshere (left) and Mertesacker salute the Arsenal fansWakionesha mfano: Jack Wilshere (kushoto) na Mertesacker wakionesha heshima kwa mashabiki waliosafiri leo
Katika mechi nyingine leo,  Fernando Torres alifunga bao mojawapo katika ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya  Crystal Palace na kuifanya Chelsea iwe nyuma kwa pointi mbili na vinara Asernal ambao leo wamekula kisago kikubwa kutoka kwa Man City.
Bao lingine la Chelsea limefungwa na Mbrazil, Ramirez katika dakika ya 35 akipokea pasi kutoka kwa Eden Hazard. Bao la kufutia machozi kwa Crystal Palace limefungwa na mashambuliaji wake raia wa Morocco, Marouane Chamakh.
Kocha Jose Mourinho anaamini kuwa haiwezekani hata kidogo kuwafananisha washambuliaji wake na vijana wenye kipaji kikubwa na maarifa ya soka wa klabu ya Man City, Sergio Kun Aguero au Luis Suarez wa Liverpool.
Kupingana na mtazamo wa kocha wake, Torres alifunga bao la kwanza ambalo linamaanisha Chelsea watakwea kileleni kabla ya krimasi endapo wataifunga Arsenal katika dimba la Emirates desemba 23 mwaka huu.
To the rescue: Ramires scores Chelsea's second goal to send the Blue on the way to three points Ramires aliifungia Chelsea bao la pili
Kikosi cha Chelsea: Cech 5; Ivanovic 6, Luiz 6, Terry 6, Azpilicuta 7; Essien 6, Ramires 7; Willian 7 (Schurrle 82), Mata 5 (Oscar 62, 5), Hazard 6; Torres 5 (Ba 84). 
Crystal Palace: Speroni 8; Mariappa 6, Gabbidon 7, Delaney 6, Ward 7; Bannan 5 (Bolasie 51, 5), Jedinak 7, Dikgacoi 5 (O’Keefe 26, 7), Puncheon 6; Chamakh 7 (Gayle 88), Jerome 7. 
Shock on the cards: Marouane Chamakh continues his good form infront of goal by making it 1-1
Back in the game: Chamakh gives Palace hope when he makes it 1-1Amerudi mchezoni: Chamakh akirudisha matumaini kwa Palace baada ya kusawazisha na kufanya ubao usomeke 1-1
In the goals: Fernando Torres celebrates after scoring the opening goal against PalaceMourinho naweza baba!: Fernando Torres akishangilia bao la kwanza dhidi ya Palace
 Mechi zilizomalizika matokeo yako ifuatavyo;
 England: Premier League 
  
Finished
 
 Manchester City
6-3
Arsenal 
 
(2-1)    
  
Finished
 
 West Ham
0-0
Sunderland 
 
(0-0)    
  
Finished
 
 Newcastle United
1-1
Southampton 
 
(1-0)    
  
Finished
 
 Everton
4-1
Fulham 
 
(1-0)    
  
Finished
 
 Chelsea
2-1
Crystal Palace 
 
(2-1)    
  
Finished
 
 Cardiff
1-0
West Bromwich Albion 

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video