Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary Nagu (kushoto) na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel Sitta (kulia) wakiteta na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela, bungeni mjini Dodoma Desemba 13, 2013. (Picha a na Ofisi ya Waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment