Sunday, December 15, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
Tel: 0712461976 au 0764302956
MANCHESTER United wanaamini kuwa mshambuliaji wao Wayne Mark Rooney yuko tayari kwa mazungunmzo ya mkataba mpya wa miaka minne utakaogharimu thamani ya pauni milioni 50.
David Moyes anajiandaa kuongeza nguvu katika kikosi chake katika dirisha dogo la usajili (Januari mwakani) ili kuweza kuendana na kasi ya msimu huu ambao Man United inasuasua sana.
Mwenyekiti wa  United  Ed Woodward amewasiliana mara kadhaa na wakala wa Roney, Bwana Paul Stretford na inafahamika kuwa kikao rasmi kitafanyika siku chache zijazo.
Positive sign: Manchester United set to open contract talks with striker Wayne Rooney Mambo Supa: Manchester United wanafanya mpango wa kufungua mazungumzo na mshambuliaji wao Wayne Rooney
 Ni mara ya kwanza kwa klabu kutoa taarifa hiyo tangu kuvunjika kwa mahusiano mazuri baina ya kocha wa zamani wa Man United,  Sir Alex Ferguson na Rooney ambapo kibabu alisema nyota huyo, 28, aliomba kuondoka, lakini mchezaji huyo mara zote anakataa maneno hayo.
Taarifa za kubakia kwa Rooney zinampa raha Moyes ambaye anataka kuwatoa kafara baadhi ya wachezaji na kusajili wapya ili kuimarisha kikosi chake.
Ashley Young, Nani na  Antonio Valencia bado wanajitahidi kutafuta njia ya kubaki na Moyes amesema: ‘Wachache wanaweza kuondoka kama tutapata ofa nzuri.’
Smiles better: Rooney appears to be much happier at UnitedTabasamu bab kubwa: Rooney ameonaka kuwa na furaha zaidi Man United
Key man: Rooney will have to lead United attack after Robin van Persie was ruled out for next eight matches by thigh injuryNguzo ya timu: Rooney ataongoza safu ya ushambuliaji baada ya  Robin van Persie kukaa nje ya uwanja kwa mechi 8 kufuatia kupata matatizo ya mguu.
Wachezaji wawili wa England Tom Cleverley na Danny Welbeck, pia Javier Hernandez, Anderson na Alex Buttner, hawajathibitisha kubaki au la, wakati Mkongwe Rio Ferdinand na Patrice Evra inaonekana klabu haina mpango wa kuwapa ofa ya mkataba mpya
“Nimejaribu kutoa nafasi kwa kila mtu; alisema Moyes. “Tutauza?, Kama tutapata ofa nzuri pengine tutaangalia hilo”.
Tough decision: United boss David Moyes is ready to wield the axeMaamuzi magumu:  Bosi wa United , David Moyes yuko tayari kutoa kafara wachezaji kadhaa
Under pressure: Ashley Young has struggled to make an impact under David MoyesPresha ni kubwa: Ashley Young amehangaika sana kumshawishi kocha wake David Moyes
On his way: Midfielder Anderson has failed to impressAnasepa zake: Kiungo Anderson ameshindwa kuonesha kiwango
 ”Tutajaribu kuweka usawa kwa kuondoa watu, lakini pia kuwaleta watu”. Alisema Moyes.
Moyes anatupia ndoana zake kwa kiungo wa Atletico Madrid, Koke Face, kwa dau la pauni milioni 15, pia beki wa Porto, Eliaquim Mangala aliowaona kwenye michuano ya UEFA jumatano ya wiki hii. Pia anafanya mipango ya kutuma tena ofa kwa beki wa kushoto wa Everton,  Leighton Baines.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video