Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia kwenye hafla ya Maadhimisho ya miaka 50 ya Ushirikiano
kati ya Tanzania na Sweden iliyofanyika jana katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es Salaam. Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akihutubia kwenye uzinduzi wa Kampeni ya Kuzuia Malaria
inayojulikana kama ‘M-Zinduka’ inayoendeshwa kwa pamoja kati ya Kampuni
ya Simu za Mkononi ya Vodacom, Tanzania House of Talents na Malaria no
more
(Picha na OMR)
Home
»
»Unlabelled
» Makamu wa Rais Dkt Bilal na Miaka 50 ya ushirikiano kati mya Tanzania na Sweden na uzinduzi wa kampeni ya kuzuwia Malaria ZINDUKA
Thursday, December 5, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment