Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akifungua Bomba kuashiria kuzindua mradi wa maji safi na salama
katika shehia ya Chumbuni mjini Zanzibar zilizofanyika leo Disemba
7-2013, ikiwa ni katika shamrashamra za maadhimisho ya miaka 50 ya
Mapinduzi Zanzibar.
0 comments:
Post a Comment