Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza wakati
wa Tamasha la kuhitimisha Mbio za Uhuru (Uhuru Marathon)
zilizomalizikia kwenye Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es
Salaam.
Waziri
wa Habari, Vijana Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara,
akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Rais Dkt. Bilal kuhitimisha
Tamasha la mbio hizo za Uhuru Marathon, kwenye Viwanja vya Leaders Club
Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria tamasha hilo la hitimisho la mbio za Uhuru Marathon.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria tamasha hilo la hitimisho la mbio za Uhuru Marathon.
Sehemu ya wananchi waliohudhuria tamasha hilo la hitimisho la mbio za Uhuru Marathon.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimvisha Medali ya Shaba mshindi wa tatu Kilometa 21 wa Mbio za Uhuru
(Uhuru Marathon 2013) Kasirini Renchi, ambaye ni askari Magereza, wakati
wa Tamasha la kuhitimisha Mbio za Uhuru Marathon 2013, zilizomalizikia
Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimvisha Medali ya Dhahabu mshindi wa kwanza Kilometa 21 wa Mbio za
Uhuru (Uhuru Marathon 2013) Jaqueline Juma, ambaye ni askari wa JWTZ
Arusha, wakati wa Tamasha la kuhitimisha Mbio za Uhuru Marathon 2013,
zilizomalizikia Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es
Salaam.
Washindi wa Mbio za Uhuru Marathon 2013, wa Kilometa 21 mshindi wa kwanza Jaqueline Juma, Askari wa
JWTZ Arusha (katika) wa pili Angela Temo, kutoka Kenya (kushoto) na wa
tatu Kasirini Renchi, Askari Magereza, wakiwa katika picha ya pamoja
baada ya kukabidhiwa zawadi zao na Medali kwa kutangazwa washindi wa
mbio hizo zilizohitimishwa leo na Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano
wa Tanzania, katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es
Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimvisha Medali ya Dhahabu mshindi wa kwanza wa Kilometa 42 kwa upande
wa wanaume mbio za Uhuru (Uhuru Marathon 2013) Jamini Ikai, kutoka
nchini Kenya, wakati wa Tamasha la kuhitimisha Mbio za Uhuru Marathon
2013, zilizomalizikia Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, jijini Dar es
Salaam.
Baadhi ya washiriki wa Mbio hizo wakimalizia katika pointi ya mwisho katika Viwannja vya Leaders.
Baadhi ya washiriki wa Mbio hizo wakimalizia katika pointi ya mwisho katika Viwannja vya Leaders.
Washindi wa Mbio za Uhuru Marathon 2013, wa Kilometa 42 mshindi wa kwanza, Jamini Ikai, kutoka Kenya
(katika) wa pili Steven Sylvester, kutoka Tanzania (kushoto) na wa tatu
Alex Sanka wa Tanzania, wakiwa katika picha ya pamoja baada ya
kukabidhiwa zawadi zao na Medali kwa kutangazwa washindi wa mbio hizo
zilizohitimishwa leo na Makamu wa Rais wa jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, katika Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es
Salaam.
Meza Kuu ikifurahia na kuwapongeza washiriki……..
0 comments:
Post a Comment