Sunday, December 29, 2013

TA1A5229Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimakabidhi zawadi Naibu Makamo Mkuu wa Chuo Taaluma Dk.Haji Mwevora Haji.kwa niaba ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Mzee Hassan Nassoro Moyo,wakati wa sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja jana,katikati Makamo Mkuu wa Chuo Prof Idriss Ahmada Rai.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A5232Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimakabidhi Cheti cha Ukutubi Miza Juma Makame,akiwa mwanafuzi Bora katika sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A5233Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimakabidhi Cheti cha Teknolojia ya Kompyuta Aziza  Hamadi Ali,akiwa mwanafunzi bora wa somo hilo katika sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A5234Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimakabidhi Cheti cha Stashahada ya Uongozi wa Elimu na Utawala Masoud Hamad Omar,katika sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A5250 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimakabidhi zawadi maalum Ghazal Abdulkadir Ali,akiwa mwanafunzi bara wa masomo ya Kompyuta kwa mwaka 2012/2013,iliyotolewa na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Mhe,Rashid Seif,katika sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A5251Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha
Zanzibar (SUZA) akimakabidhi zawadi maalum Hamisa Abdulrahim Shaaban,akiwa mwanafunzi bora wa somo la Sayansi na Elimu,iliyotolewa na Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Wanawake,Bi Zainab Omar Mohamed,kwa mwaka 2012/13,katika sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]TA1A5256Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) akimakabidhi zawadi maalum  kwa mfanyakazi bora Ibrahim Ahmed Ibrahim,katika sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video