Bondia Joshua Amukulu kushoto kutoka Kenya akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho wakati wa upimaji uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Desemba 31 siku ya jumanne katika ukumbi wa Msasani klabu Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Kalama Nyilawila kushoto akitunishiana misuli na Ibrahimu Maokola baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Desemba 31 siku ya jumanne katika ukumbi wa Msasani klabu Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Fransic Miyeyusho akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake Joshua Amukulu kutoka Kenya utakaofanyika Desemba 31 siku ya jumanne katika ukumbi wa Msasani klabu Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
BONDIA FRANSIC MIYEYUSHO AKIOJIWA NA WAANDISHI WA HABARI BAADA YA KUPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WAKE NA MKENYA JOSHUA AMULU UTAKAOFANYIKA DESEMBA 31 KATIKA UKUMBI WA MSASANI KLABU PICHA ZAIDI TEMBELEA www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Bondia Ibrahimu Class ‘king Class Mawe’ kushoto akitunishiana misuli na Mustafa Dotto baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Desemba 31 siku ya jumanne katika ukumbi wa Msasani klabu Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
IBRAHIMU CLASS ‘KING CLASS MAWE AKIP[IMWA AFYA
IDDY MNYEKE AKIPIMWA AFYA YAKE
|
0 comments:
Post a Comment