Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimina
na Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya matembezi ya Vijana, Waziri
asiyekuwa na Wizara Maalum Machano Othman Said,mara alipowasili katika
ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi, Oysterbay Jijini Dar es
Salaam,jana katika hafla ya harambee ya kuchangia Jumuiya ya UVCCM
kufanikisha Matembezi,ya vijana yanayoandaliwa na UVCCM
Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(katikati)
akifuatana na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa,Sadifa Juma Khamis,(kulia)
baada ya kuwasili katika ukumbi wa Bwalo la Maafisa wa Polisi,
Oysterbay Jijini Dar es Salaam,leo katika hafla ya harambee ya
kuchangia Jumuiya ya UVCCM kufanikisha Matembezi,ya vijana
yanayoandaliwa na UVCCM Zanzibar,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,alipokuwa akizungumza na viongozi wa Umoja wa Vijana
UVCCM,katika hafla maalum ya harambee kuchangia jumuiya hiyo katika
kufanikisha matembezi ya Maadhimisho miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar, katika Bwalo la Maafisa wa Polisi,Oysterbay Jijini Dar es
Salaam jana,ambapo zaidi ya Shillingi Millioni Miamoja
zilikusanywa.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Mwenyekiti wa UVCCM Taifa,Sadifa Juma
Khamis,(kushoto)akimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,ilikuzungumza na viongozi mbali mbali na wafanyabishara
katika harambee ya kuchangia Jumuiya ya Umoja wa Vijana CCM,(UVCCM)
katika hafla ya harambee iliyofanyika jana katika ukumbi wa Bwalo la
Maafisa wa Polisi, Oysterbay Jijini Dar es Salaam,Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali
Iddi,akitoa tamko lake la kuichangia Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa
CCM,(UVCCM) katika hafla ya Harambee kufanikisha matembezi katika
maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,iliyofanyika
leo katika Bwalo la Maafisa wa Polisi,Oysterbay Jijini Dar es
Salaam,(kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]Kada wa CCM Ramadhan Simai Makame,(Msheli) alipokuwa
akichangia shillingi za Kitanzania Millioni mbili,katika hafla ya
harambee ya kuchangia Jumuiya ya UVCCM kufanikisha Matembezi,ya vijana
yanayoandaliwa na UVCCM Zanzibar,iliyofanyika jana huko Oysterbay
Jijini Dar es Salaam,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

akifuatana na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa,Sadifa Juma
Khamis,(kulia)baada ya kumalizika kwa hafla ya mchango wa kufanikisha
matembezi katika maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar,iliyofanyika leo katika Bwalo la Maafisa wa Polisi,Oysterbay
Jijini Dar es Salaam jana,ambapo zaidi ya Shillingi Millioni Miamoja
zilikusanywa.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

0 comments:
Post a Comment