Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail na soccerstand.com
Tel: 0712461976 au 0764302956
Manchester United wametoka nyuma kwa mabao 2-o na kuibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Hull City katika dimba la KC, huku shukurani za pekee zikimwendea mchezaji wa zamani wa mashetani wekundu, James Chester aliyejifunga bao la tatu na kuizamisha klabu yake ikiwa nyumbani.
Hata hivyo James Chester ndiye aliyekuwa wa kwanza kuiandikia kimiani bao la kwanza klabu yake ya Hull dakika ya nne tu ya mchezo huo baada ya kazi nzuri ya Alex Bruce.
David Meyler katika dakika ya 13 aliandika bao la pili kufuatia makosa ya mabeki wa Man United, lakini mashetani wekundu walikuja juu na katika dakika ya 25 Chris Smalling alifunga bao zuri kwa njia ya kichwa akimalizia kazi nzuri ya Wayne Mark Rooney.
Dakika moja tu baadaye, Rooney alitinga tena nyavuni na kusawazisha bao la pili.
Man United walimaliza kazi katika dakika ya 646 baada ya James Chester kujifunga mwenyewe akiunganisha mpira wa krosi wa Ashley Young na kumpa ushindi wa bure David Moyes.




England: Premier League
Finished
|
Hull
| 2-3 |
Manchester United
| (2-2) | ||||||
Finished
|
Tottenham
| 1-1 |
West Bromwich Albion
| (1-1) | ||||||
Finished
|
Norwich
| 1-2 |
Fulham
| (1-1) | ||||||
Finished
|
Newcastle United
| 5-1 |
Stoke
| (1-1) | ||||||
Finished
|
West Ham
| 1-3 |
Arsenal
| (0-0) | ||||||
Finished
|
Everton
| 0-1 |
Sunderland
| (0-1) | ||||||
Finished
|
Chelsea
| 1-0 |
Swansea
| (1-0) | ||||||
Finished
|
Cardiff
| 0-3 |
Southampton
| (0-3) | ||||||
Finished
|
Aston Villa
| 0-1 |
Crystal Palace
| (0-0) | ||||||
30′
|
Manchester City
| 0-1 |
Liverpool
|
0 comments:
Post a Comment