Sunday, December 29, 2013


Promota wa mpambano wa masumbwi Kaike Siraju katikati akimwinua mkono juu bondia Mohamed Matumla baada ya kumkabidhi pikipiki yake kwa kumshinda Nasibu Ramadhani wakati wa sikukuu ya krismas na kuibuka na bodaboa hiyo kushoto ni Baba wa bondia huyo Rashidi Matumla na wa pili kulia ni Meneja Mkuu wa G S Group Limited wasambazaji wa pikipiki ya Haojue ambao wametoa pikipiki hiyo,Bruce Shi .

Promota wa mpambano wa masumbwi Kaike Siraju katikati akimpongeza bondia Mohamed Matumla baada ya kumkabidhi pikipiki yake kwa kumshinda Nasibu Ramadhani wakati wa sikukuu ya krismas na kuibuka na bodaboda hiyo kushoto ni Baba wa bondia huyo Rashidi Matumla na wa pili kulia ni Meneja Mkuu wa G. S Group Limited wasambazaji wa pikipiki ya Haojue ambao wametoa pikipiki hiyo,Bruce Shi.

Meneja Mkuu wa G S Group Limited wasambazaji wa pikipiki ya Haojue ambao wametoa pikipiki hiyo,Bruce Shi akimpongeza bondia Mohamed Matumla baada ya kumkabidhi bodaboda hiyo.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video