Sunday, December 29, 2013


Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail, supersport.con na soccerrstand
Tel: 0712461976 au 0764302956
WASHIKA bunduki wa London, klabu ya Asernal leo hii wameibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Newcastle United na kurudi kileleni kufuatia kufikisha pointi 42, huku Manchester City waliokuwa wanaongoza tangu jana usiku wakirudi nafasi ya pili.
Bao pekee la Asernal leo hii lilifungwa na dakika ya 65 kupitia kwa Olivier Giroud akipokea pasi nzuri kutoka kwa winga Theo Walcott.
 Mechi nyingne usiku huu ilikuwa baina ya Chelsea dhidi ya Liverpool ambapo Brendan Rodgers amezama tena kwa mabao 2-1, dimba la Darajani, jijini London.
Mabao ya Chelsea yamefungwa na Eden Hazard katika dakika ya 17 , huku Samuel Eto`o akifunga bao la ushindi katika dakika ya 34 akipokea pasi nzuri kutoka kwa Oscar.
Lakini Liverpool ndio walikuwa wa kwanza kuliona lango la Chelsea kupitia kwa Martin Skrtel dakika ya 3.
Rodgers atarudi anaumwa usiku huu kutokana na zahama aliyoipata baada ya Eto`o kuhusika katika mabao yote mawili.
Baada ya matokeo ya leo, Chelsea wamekalia nafasi ya tatu kwa kujikusanyia pointi 40, huku Liverpool wakiporomoka mpaka nafasi ya 5 na pointi zao 36.
Striker: Olivier Giroud celebrates after scoring a header to put Arsenal in the leadMshambuliaji: Olivier Giroud akishangilia bao lake leo hii
Goal! The ball went under Tim Krul and into the back of the netGooo! Giroud akifunga bao lake
CHELSEA VS LIVERPOOL
A Chelsea striker actually scores! Samuel Eto'o got the home side's second of the game, but not without a helping hand from Liverpool keeper Simon MignoletSamuel Eto’o akishangilia bao lake la pili na la ushindi
It really did go in! Eto'o celebrates with his team-mates after just his fifth goal in Chelsea coloursKweli nimefunga?! Eto’o akishangilia bao lake la tano akiwa na Chelsea
MATOKEO YA MECHI ZA LEO; 
 
  
Finished
 
 Newcastle United
0-1
Arsenal 
 
(0-0)    
  
Finished
 
 Everton
2-1
Southampton 
 
(1-0)    
  
Finished
 
 Tottenham
3-0
Stoke 
 
(1-0)    
  
Finished
 
 Chelsea
2-1
Liverpool 
MSIMAMO WA LIGI KUU ENGLAND BAADA YA MECHI ZA LEO;
PosTeamPWDLGFGAGDPts
1Arsenal19133337181942
2Manchester City19132454213341
3Chelsea19124335191640
4Everton19107231181337
5Liverpool19113544232136
6Manchester United19104532221034
7Tottenham Hotspur1910452224-234
8Newcastle United1910362924533
9Southampton197662620627
10Hull City196582223-123
11Swansea City195682425-121
12Stoke City195681829-1121
13Aston Villa195591825-720
14Norwich City1954101632-1619
15West Bromwich Albion193972227-518
16Cardiff City194691530-1518
17Crystal Palace1951131228-1616
18Fulham1951131941-2216
19West Ham United1936101828-1015
20Sunderland1935111532-1714

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video