Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,
akisalimiana na watoto wa Kijiji cha Chonga,wakati alipofika kijijini
hapo kufungua kituo kipya cha Ununuzi wa Karafuu cha ZSTC,akiwa katika
ziara ya Mkoa wa Kusini Pemba kutembelea vituo mbali mbali. [Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na viongozi aliofuatana
nao wakipata maelezo kutoka kwa Mpasishaji wa karafuu katika Kituo cha
ZSTC Mkoani Khamis Nassor Mohamed,alipotembela kituo hicho akiwa katika
ziara ya Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na viongozi aliofuatana
nao wakipata maelezo kutoka kwa Mdhamini wa Kituo cha ZSTC Wilaya ya
Mkoani Seif Suleiman Kassim,alipotembela kituo hicho akiwa katika ziara
ya Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na Mama Mwanamwema Shein (katikati) pamoja na viongozi aliofuatana
nao,walipotembela kuangalia hatua za Ujenzi wa Ikulu ya Mkoani,wakati
alipofanya ziara katika Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akitoa maelekezo kwa wahusika wa Ujenzi wakati
alipotembelea maendeleo ya ujenzi wa Ikulu ya Mkoan, alipofanya ziara
katika Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akifungua pazia kufungua Madarasa ya Kusomea ya Skuli ya Kengeja
msingi Wilaya ya Mkoani Pemba,(kushoto Mke wa Rais Mama Mwanamwema
Shein,ufunguzi huo ulifanyika jana alipokuwa akiendelea na ziara yake
katika Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akipokea risala kutoka kwa Msaidizi Mwalimu Mkuu Issa Ali Hamadi,
(kulia)aliyoisoma baada ya kufungua madarasa ya Skuli ya Kengeja Msingi
jana alipokuwa akiendelea na ziara yake katika Mkoa wa Kusini Pemba,
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,alipokuwa akizungumza na Wazee na wanafunzi wa kijiji cha Kengeja
baada ya kuyafungua madarasa mapya 7 ya Skuli ya Kengeja msingi
jana,alipokuwa katika ziara ya Mkoa wa Kusini Pemba, [Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
0 comments:
Post a Comment