Monday, November 18, 2013

KLABU ya Newcastle imeanza mazungumzo ya kumchukua winga wa Manchester United, Wilfried Zaha kwa mkopo ifikapo Januari.
Wawakilishi wa mchezaji huyo wa England walikutana na viongozi wiki iliyopita kujadili uwezekano wa mkopo wa miezi sita, na kocha wa United, David Moyes ametoa wazo la kumpatia Zaha timu atakayokuwa akipata naba kikosi cha kwanza katika Ligi Kuu.
Zaha, mwenye umri wa miaka 20, alikuwa mchezaji wa mwisho kusajiliwa na Sir Alex Ferguson kabla hajastaafu, lakini amecheza mechi moja tu ya Kombe la Ligi, maarufu kama Capital One chini ya Moyes.
Katika mazungumzo: Wilfried Zaha yupo katika mazungumzo na Newcastle United juu ya uwezekano wa kwenda kucheza kwa mkopoDeal: Alan Pardew is interested in bringing Zaha in for a six-month spell
Dili: Alan Pardew ana nia ya kumchukua Zaha kwa mkop wa miezi sita
Mchezaji huyo wa zamani wa Crystal Palace aliichezea mechi ya kwanza England dhidi ya Sweden mwaka jana, lakini kutokana na kukosa nafasi katika klabu yake, amejikuta akirejeshwa kikosi cha vijana chini ya umri wa miaka 21. Zaha amekataa kurejea Palace.
Ruled out: Zaha has said he will not make a return to former club Crystal Palace
Amechomoa: Zaha amesema hatarejea klabu yake ya zamani Crystal Palace

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video