Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiongozana na Jaji Mkuu wa Tanzania, Othman
Chande (kuhoto) na Rais wa Mahakama ya afrika Jaji Sophia Kuffo kabla
ya kufungua mkutano wa majaji wa Afrika kwenye kituo cha Mikutano cha
Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 18, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Askofu
wa Jimbo, Geita Dmiano Dallu akifukiza ubani mwili wa Dr. Edmund
Mvungi katika ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwa marehemu,
Chanjale wilayani Mwanga Novemba 18, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiweka shada la maua katika jeneza la marehemu Dr.
Edmund Mvungi kabla ya azishi yaliyofanyika kijijini kwa marehemu
Chanjale wilayani Mwanga Novemba 18, 2013. (Picha na Ofisi ya `Waziri
Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa marehemu Dr.Edmund
Mvungi katika ibada ya mazishi iliyofanyika kijijini kwa marehemu
Chanjale wilayani Mwanga Novemba 18, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
0 comments:
Post a Comment