Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara
akihutubia wageni waalikwa hawapo pichani wakati wa hafla ya kuzindua
Bodi mpya ya Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) jana jijini Dar es
Salaam.

Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiteta
jambo na Mwenyekiti wa Baraza la Sanaa la Taifa Prof. Penina
Mlama(kulia) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Bodi ya BASATA jana jijini
Dar es Salaam .
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara wa pili
kushoto akipokea zawadi ya picha za Tingatinga kutoka kwa Mwenyekiti wa
Baraza la Sanaa la Taifa Prof. Penina Mlama wakati wa hafla ya uzinduzi
wa Bodi ya Basata.Kushoto ni Mkurugenzi wa Maendeleo ya Utamaduni Prof.
Hermans Mwansoko na wa mwisho kulia ni Kaimu Katibu Mtendaji wa Basata
Bwana Gedfrey Mngereza.

Mzee Jangala mwenye Kibaraghashee akifuatilia hafla ya uzinduzi wa Bodi ya Basata jana jijini Dar es Salaam.

Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara (
waliokaa katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe wa Bodi ya
Basata mara baada ya uzinduzi wa Bodi hiyo jana jijini Dar es Salaam.

Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya Wafanyakazi wa BASATA alipo kuwa
mgeni rasmi katika hafla ya uzinduzi wa Bodi ya BASATA jana jijini Dar
es Salaam.
Picha zote na Frank Shija – WHVUM
0 comments:
Post a Comment