Balozi
wa China nchini Lu Youing (wa kwanza kwenye mstari) akisalimiana na
Kiongozi wa msafara wa wajumbe 85 kutoka Serikali za Mitaa za China,
Makamu Gavana wa Jimbo la Shandong Xia Geng kwenye Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa jijini Dares Salaam Ujumbe huo umehusisha, magavana,
mameya na wafanyabiashara ambao wamewasili nchini leo mchana kwa lengo
la kudumisha ushirikiano katika masuala ya Serikali za Mitaa, biashara
na uchumi.

Waziri
wa Nchi Ofisi wa Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa(TAMISEMI) Hawa Ghasia (wa pili kwenye mstari) akisalimiana na
Kiongozi wa msafara wa wajumbe 85 kutoka Serikali za Mitaa za China,
Makamu Gavana wa Jimbo la Shandong Xia Geng kwenye Uwanja wa Ndege
wa Kimataifa jijini Dares Salaam.Ujumbe huo umehusisha, magavana,
mameya na wafanyabiashara ambao wamewasili nchini kwa ziara ya leo
mchana kwa lengo la kudumisha ushirikiano katika masuala ya Serikali za
Mitaa, biashara na uchumi.

Waziri
wa Nchi Ofisi wa Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za
Mitaa(TAMISEMI) Hawa Ghasia (kulia )akizungumza jambo na Kiongozi wa
msafara wa wajumbe 85 kutoka Serikali za Mitaa za China, Makamu Gavana
wa Jimbo la Shandong Xia Geng(katikati) kwenye Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa jijini Dares Salaam.Ujumbe huo umehusisha, magavana, mameya na
wafanyabiashara ambao wamewasili nchini leo mchana kwa lengo la
kudumisha ushirikiano katika masuala ya Serikali za Mitaa, biashara na
uchumi.

Baadhi
ya ujumbe wa watu 85 kutoka Serikali za Mitaa za China,.Ujumbe huo
umehusisha, magavana, mameya na wafanyabiashara ambao wamewasili nchini
leo mchana kwa lengo la kudumisha ushirikiano katika masuala ya
Serikali za Mitaa, biashara na uchumi.
Picha na Magreth Kinabo – Maelezo.
0 comments:
Post a Comment