Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akiteta
jambo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Lu Youqing
wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa Pikipiki 20 kwa kampuni ya
magazeti ya Serikali ((TSN) kwa ajili ya programu ya elimu inayotolewa
na magazeti ya Dailynews na Habari Leo. Msaada huo umetolewa jana jijini
Dar es Salaam na Jumuiya ya wafanyabiasha kutoka China katika Soko la
Kariakoo.
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akiwa
katika moja ya Pikipiki mara baada ya makabidhiano ya msaada huo.Kulia
ni Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Lu Youqing
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akipeana
mkono na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini Lu Youqing
wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa Pikipiki 20 kwa kampuni ya
magazeti ya Serikali ((TSN) kwa ajili ya programu ya elimu inayotolewa
na magazeti ya Dailynews na Habari Leo jana jijini Dar es Salaam.

Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara
akifurahia baada ya kupanda moja ya Pikipiki baada ya makabidiano. Kulia
Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN bwana Gabriel Nderumaki akifurahia
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara
akivalishwa Helmet na Katibu wake Bwana Juma Mswadiku ikiwa ni ishara ya
kutumia usafiri huo uku ukizingatia sheria.

Baadhi
ya wafanyakazi wa TSN wakifuatilia hafla ya makabidhiano ya msaada wa
vitendea kazi (Pikipiki) jana jijini Dar es Salaam.
Picha zote na Frank Shija – WHVUM
0 comments:
Post a Comment