Katika
hali ya kuonesha kwamba wafanyabiashara wa eneo la kariakoo hawataki
wala kusikia kuhusu mashine za T.R.A,Wafanyabiashara hao wameamua
kufunga mabango katikati ya mitaa yakiwa na ujumbe wa kupinga matumizi
ya mashine hizo.
Leo
ni siku ya pili kwa wafanyabiashara hao kugoma kufanya biashara,Swali
la msingi je Serikali inaonaje hali hii ya wananchi kukosa huduma? na
pia huu ni mkoa wa nne sasa baada ya Mbeya, Morogoro na Mtwara.
0 comments:
Post a Comment