Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiifariji
familia na kusaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa Marehemu Mussa
Hilary Samizi huko Kunduchi Tegeta jijini Dar es Salaam.Marehemu Musa
Samizi ni mtumishi wa umma mstaafu ambaye amewahi kushika nyadhifa
mbalimbali katika Chama Cha Mapinduzi CCM na Serikalini ikiwemo ukuu wa
wilaya.Marehemu anatarajiwa kuzikwa leo jijini Dar es Salaam.(picha na
Freddy Maro).
Home
»
»Unlabelled
» Rais Dkt. Kikwete aifariji familia ya Marehemu Mussa Samizi
Wednesday, November 13, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment