Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo
nyumbani kwa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba na
kiongozi mwandamizi wa chama cha NCCR Mageuzi, marehemu Dr. Sengondo
Mvungi huko Mbezi Kibamba jijini Dar es Salaam leo mchana. Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiifariji familia ya Marehemu Dkt.Sengondo (picha na Freddy Maro)
Home
»
»Unlabelled
» Rais Dkt. Kikwete aifariji familia ya Dkt.Sengondo Mvungi
Wednesday, November 13, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment