Saturday, November 16, 2013

Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa  Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo,wakiwa,katika mkutano wa
utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika  Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar. [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_0017 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(kulia) akisikiliza taarifa ya utekezaji wa kazi
za Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo, iliyosomwa na Waziri Said Ali Mbarouk,(kushoto)  katika mpangilio wake wa kuzungumza na kila Wizara katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,(katikati) Katibu Mkuu Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.] IMG_0019 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika  Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video