|
Makamu
wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal akitoa salamu za Rais Jakaya Kikwete
wakati wa Ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba marehemu Dk. Sengodo Mvungi kwenye viwanja vya
Karimjee leo jijini Dares Salaam. |
|
Makamu
wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal akitoa heshima za mwisho kwa mwili
wa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba marehemu Dk.
Sengodo Mvungi kwenye viwanja vya Karimjee leo jijini Dares Salaam.
|
|
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa
mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba marehemu Edmond Sengodo Mvungi
kwenye viwanja vya Karimjee leo jijini Dares Salaam.
|
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad
akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba marehemu Dk. Sengodo Mvungi kwenye viwanja vya
Karimjee leo jijini Dares Salaam
|
Mwenyekiti
wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji mstaafu Joseph Warioba akitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko
ya Katiba marehemu Dk. Sengodo Mvungi kwenye viwanja vya Karimjee leo
jijini Dares Salaam.
|
|
Waziri
Mkuu Mstaafu Cleopa Msuya akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa
aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba marehemu Dk. Sengodo
Mvungi kwenye viwanja vya Karimjee leo jijini Dares Salaam .
|
|
Rais
Mstaafu wa Serikali ya Awamu ya tatu Benjamin Mkapa akitoa heshima za
mwisho kwa mwili wa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
marehemu Dk. Sengodo Mvungi kwenye viwanja vya Karimjee leo jijini
Dares Salaam. |
|
Mwenyekiti
wa Chama cha Wananchi(CUF)Profesa Ibrahim Lipumba akitoa heshima za
mwisho kwa mwili wa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
marehemu Dk. Sengodo Mvungi kwenye viwanja vya Karimjee leo jijini
Dares Salaam.
|
|
|
Mwenyekiti
wa Chama cha NCCR -Mageuzi James Mbatia akitoa heshima za mwisho
kwa mwili wa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
marehemu Dk. Sengodo Mvungi kwenye viwanja vya Karimjee leo jijini
Dares Salaam.
|
|
Mwenyekiti
wa Kambi ya Upinzani Bungeni,Freeman Mbowe akitoa heshima za mwisho
kwa mwili wa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
marehemu Dk. Sengodo Mvungi kwenye viwanja vya Karimjee leo jijini
Dares Salaam.
|
|
Watoto
wa marehemu Dk. Sengodo Mvungi aliyekuwa mjumbe wa Tume ya Mabadiliko
ya Katiba Natujwo (kushoto) na Neema (kulia) wakinadi shairi
lakuelezea baba yao alivyojasiri heshima kwenye viwanja vya Karimjee
leo jijini Dares Salaam.
|
Mke
wa marehemu Dk. Sengodo Mvungi , Anna Mvungi (katikati) akiwa katika
ibada hiyo kwenye viwanja vya Karimjee leo jijini Dares Salaam
|
Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji,Francis Mutungi akizungumza katika msiba huo . |
|
Waziri wa Habari ,Vijana , Michezo na Utamaduni Dk. Fenella Mukangara akiuaga mwili.
|
|
Profesa
Palamagamba Kabudi ambaye ni rafiki wa aliyekuwa mjumbe wa Tume ya
Mabadiliko ya Katiba marehemu Dk. Sengodo Mvungi akitoa heshima
kwenye viwanja vya Karimjee leo jijini Dares Salaam.
|
|
Monsinyori Deogratius Mbiku (wa pili kulia ) akiongoza ibada na wenzake . |
|
Familia ikiwa katika msiba. |
|
Dk. Salim Ahmed Salim akiaga mwili huo . (Picha na Magreth Kinabo) |
0 comments:
Post a Comment