Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa hafl ya kutoa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam leo. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo, Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Regnald Mengi, wakati
wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika
kuboresha Afya ya Mama na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya
Karimjee, jijini Dar es Salaam,leo. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya
Waziri Mkuu Uwekezaji na Uwezeshaji, Dkt. Mery Nagu. Picha na OMR


Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Gharib
Bilal,akimkabidhi Tuzo,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na
Uwezeshaji, Dkt. Mery Nagu, aliyepokea kwa niaba ya Rais Mstaafu wa
awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi, wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa
Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama na Mtoto,
iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es Salaam,leo.
Katikati ni Picha na OMR

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Mohammed Ghari Bilal,
akimkabidhi Tuzo, Dkt. Faraji Mkwakwacha, wakati wa hafla ya utoaji wa
Tuzo kwa Watanzania walio mstari wa mbele katika kuboresha Afya ya Mama
na Mtoto, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Karimjee, jijini Dar es
Salaam,leo. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji na
Uwezeshaji, Dkt. Mery Nagu. Picha na OMR

Picha ya pamoja na wanamuziki wa Sikinde, waliokuwa wakitoa burudani katika hafla hiyo.
0 comments:
Post a Comment