Na Baraka Mpenja kwa msaada wa Sportsmail
MSHAMBULIAJI
bab kubwa wa majogoo wa jiji, klabu ya Liverpool, Daniel Sturridge
ametokea benchi na kuwaokoa wekundu hao wa Anfield kwa kulazimisha sare
ya mabao 3-3 leo hii dhidi ya Everton.
Nyota
huyo raia wa hakuwa fiti kuanza katika mechi ya leo baada ya kucheza
dakika 90 za mchezo wa kirafiki baina ya timu yake ya Taifa ya England
dhidi ya Ujerumani katikati ya wiki, wakati huo huo akiwa na majeruhi ya
mguu, lakini leo kaiokoa klabu yake na kichapo.
Kikosi
cha EVERTON (4-3-3): Howard 8: Coleman 7, Jagielka 8, Distin 7, Baines 7
(Deulofeu 50mins 7): Barry 8, McCarthy 7, Pienaar 7: Barkley 8, Lukaku
9, Mirallas 8 (Osman 88).
Wafungaji: Miralles 8′, Lukaku 72′, 82′
Kikosi cha LIVERPOOL Leo: (4-1-3-2):
Mignolet 8: Johnson 6, Skrtel 7, Agger 6, Flanagan 7: Lucas 8
(Sturridge 79mins): Gerrard 8, Allen 5 (Moses 67mins 6), Henderson 8;
Coutinho 6: Suarez 7
Wafungaji: Coutinho 5′, Suarez 19′, Sturridge 89′

Supersub: Daniel Sturridge alitokea benchi na kusawazisha bao na kuipa Liverpool sare ta 3-3 dhidi ya Everton


Dakika 10 nzuri: Coutinho aliipatia Liverpool bao la kuongoza ndani ya dakika tano dimba la t Goodison Park

Jembe la Brazil; Coutinho akishangilia na wachezaji wenzake

Mzee wa kazi: Kevin Mirallas akifunga bao la pili la kusawazisha
Baadhi
ya matokeo za mechi za leo ni haya yafuatayo, Asernal wapo uwanjani,
Chelsea baadaye wanashuka dimbani kusaka pointi tatu muhimu.
Finished
|
Everton
|
- |
Liverpool
|
(1-2) | ||||||
Finished
|
Fulham
|
- |
Swansea
|
(0-0) | ||||||
Finished
|
Stoke
|
- |
Sunderland
|
(1-0) | ||||||
Finished
|
Newcastle United
|
- |
Norwich
|
(2-0) | ||||||
Finished
|
Hull
|
- |
Crystal Palace
|
0 comments:
Post a Comment