Bendi
ya Jeshi la Wananchi likiongoza masafara wa elimu kuelekea katika
viwanja vya Chimwaga kwaajili ya Mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu Cha
Dodoma (UDOM) yaliyohitimishwa leo kwa Wahitimu Mbalimbali kutunukiwa
Shahada mbalimbali na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin
Mkapa.PICHA ZOTE NA JOSEPHAT LUKAZA WA LUKAZA BLOG
Msafara
wa Elimu ukienda kwenye Viwanja Vya mahafali leo, mahafali ya Nne ya
Chuo Kikuu Cha Dodoma yaliyohitimishwa leo katika Viwanja vya Chimwaga
Chuoni hapo
Makamu
Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Prof Idrisa Kikula (Mbele)
akiongozana na Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin Mkapa
(katikati) na Mkuu wa Baraza la Bodi ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh
Balozi Juma Mwapachu (kulia) leo katika mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu
Cha Dodoma yaliyohitimishwa katika Viwanja vya Chimwaga Chuoni hapo
Meza
kuu ikiongozwa na Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) Mh Benjamin
Mkapa Wakiwa wamesimama Kwaajili ya Kuimba Wimbo wa Taifa kabla ya
sherehe ya Mahafali ya Nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) kuanza
Baadhi
ya wahitimu wa shahada mbalimbali za Chuo Kikuu Cha Dodoma Wakisubiri
Mahafali yao ya Nne Kwaajili ya Kutunukiwa shahada zao na Mkuu wa Chuo
Kikuu Cha Dodoma (UDOM) leo.
Mwenyekiti
wa baraza la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) Balozi Juma Mwapachu akisoma
risala fupi kabla ya Kumkaribisha Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
Mh Benjamin Mkapa kuanza zoezi la Kuwatunuku wahitimu wa shahada
mbalimbali za Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) leo katika mahafali ya Nne ya
Chuo hiko yaliyofanyika leo katika Viwanja Vya Chimwaga
Baadhi
ya Ndugu, Jamaa na marafiki wa wahitimu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
wakiwa nje ya Ukumbi wa Chimwaga Kabla ya Mahafali kuanza
Baadhi
ya Ndugu, Jamaa na marafiki wa wahitimu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
wakisubiri kushuhudia mahafali ya nne ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM)
yaliyomalizika leo tarehe 23 Novemba 2013 katika Viwanja vya Chimwaga
Vilivyopo Chuoni Hapo
Ulinzi
ukiimarishwa kila sehemu hapo askari wa JKT na Jeshi la polisi
wakiwakagua ndugu,jamaa na marafiki wa wahitimu wa Shahada mbalimbali za
Chuo Kikuu Cha Dodoma waliofika katika viwanja vya Chimwaga leo
Kushuhudia ndugu zao wakitunukiwa shahada zao
0 comments:
Post a Comment