wahitimu wa chuo kikuu cha Dar es salaam, wakiwa mbele ya mgeni rasmi tayari kwa kutunukiwa shahada zao. |
Fatihiya Mohamed (wa pili kushoto) akiwa tayari kwa kutunukiwa shahada ya uzamili ya biashara na uongozi. |
wahitimu wakisubiri kusogea mbele ili kukabidhiwa shahada zao. |
Fatihiya na wahitimu wenzake wakisikiliza jambo wakati wakisubiri kutunukiwa shahada zao za uzamili ya biashara na uongozi. NA FRANCIS GODWIN BLOG |
0 comments:
Post a Comment