![]() |
omari Kimweri |
Mpambano huo utakaopigwa nchi ya China November 30 na bingwa wa dunia wa uzito huo nchini china
xiong zhao zhong ni bingwa wa dunia WBC minimum weight ambaye anashikilia taji hilo kwa sasa katika uzito huo
Kimweri
anakuwa mtanzania wa kwanza kuwania taji kubwa kabisa Duniani akitokea
nchini Austalia uku sapoti kubwa akitegemea kutoka Tanzani ambapo alipo
zaliwa
na
kigezo cha kufanya apate pambano hilo kubwa ni kutokana na rekodi yake
pamoja na kutakiwa mtu ambaye anatokea bara la Afrika ambapo kula
imemdondokea bondia Omari Kimweri kwa mara ya kwanza mtanzania huyo
ataonekana Dunia nzima akijaribu kuwania ubingwa wa WBC
Omari
Kimweri kwa sasa yupo katika mazoezi ya mwisho ya kujiandaa na
mpambano huo amesema kuwa yeye bindafsi yupo tayali kabisa kwa mpambano
huo kwani yeyey pia ni bingwa na katika kuzihirisha hilo ameomba
watanzania waendelee kumuombea kwani uwakika wa yeyey kunyakuwa ubingwa
huo ni mkubwa sana aliongeza kwa kusema ubingwa huo baada ya kuunyakuwa
atakuja nchini Tanzania ili kuwaonesha mkanda huo wa ubingwa wa Dunia
mana ushindi wake ni ushindi wa watanzania wote
huku
akitegemea zaidi duwa za watanzania kwa kuwa ushindi wake ni ushindi wa
watanzania wote Mungu Ibariki Tanzania Mungu Mbariki Bondia Omari
Kimweri
0 comments:
Post a Comment