Novemba
17, 2013 ilikuwa siku ya furaha sana kwa Beatrice Mroki (kushoto) kwa
kupata sakrementi yake ya Kipaimara baada ya kuhitimu mafunzo ya miaka
miwili katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usharika
wa Ukonga jijini Dar es Salaam. Pichani ni Beatrice akigonganisha glasi
na msimamizi wake Neema Steven wakati wa tafrija maalum ya kumpongeza
iliyofanyika katika ukumbi wa Samunge Ukonga Mazizini.
Baada ya Kipaimara baba na mama yake Beatrice wakilamba picha na Binti yao.
Pongezi kutoka kwa wazazi…
0 comments:
Post a Comment