Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu (wapili kushoto) wakizungungumza na Kiongozi wa Kikundi cha Hifadhi ya Misitu na Ufugaji nyuki cha Kambi ya Nduta wilayani Kibondo wakiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 3, 2013. Kulia ni Mkuu wa mkoa huo, Luteni Kanali Issa machibya na watatu kulia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyarandu. (Pich na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitundika mzinga wa nyuki wakati alipotembelea kikundi cha hifadhi ya misitu na ufugaji nyuki cha Kambi ya Nduta wilayani Kibondo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 3, 3013. Kulia ni mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na na viongozi wa Kikundi cha Hifadhi ya Misitu na Ufugaji nyuki cha Kambi ya Nduta wilayani Kibondo baada ya kukagua miradi ya kikundi hicho akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 3, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wananchi baada ya kakagua bwawa la Umwagiliaji la Nyendara wilayani Kibondo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 3, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri kuu)
ZIARA YA WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA KIBONDO MKOANI KIGOMA

0 comments:
Post a Comment