Waziri Mkuu, MIzengo Pinda akitazama bunduki, risasi na silaha mbalimbali zinazolipuka vilivyokamatwa na Jeshi la polisi mkoani Kigoma kutoka kwa watu waliokuwa wakizilmiki kinyume cha sheria, Oktoba 2, 2013. Vifaa hivyo viko kwenye Makao Makuu ya Polisi ya mkoa huo. Mheshimiwa Pinda yuko katika ziara ya siku sita mkoani Kigoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka jiwe la Msingi la Hoteli ya CMG Motel wilayni Kakonko akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 2, 2013. Kushoto ni mmiliki wa Hoteli hiyo Mwita Gachuma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia kigoda alichozawadiwa na wakazi wa wialya ya Kakonko kabla ya kuwahutubia katika mkutano wa hadhara akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 2, 2013. Kushoto ni Mzee Mohamed Ismail ambaye alimkabidhi zawadi hiyo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiagana na wananchi wa wilaya Kakonko wilayani humo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 2, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Home
»
»Unlabelled
» ZIARA YA WAZIRI MKUU MHE. PINDA WILAYNI KAKONKO- KIGOMA
Thursday, October 3, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment