Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akisalimiana na Wahandisi na mafundi kutoka Korea ya Kusini ambao wanajenga daraja la kto Malagarasi linalounganisha mikoa ya Kigoma na Tabora akiwa katika ziaraya mkoa wa Kigoma Oktoba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, mkewe Tunu , baadhi ya Mawaziri na wajenzi wa daraja la mto Malgarasi kutoka Korea Kusini wakiwa karika picha ya pamoja baada ya Waziri Mkuu kukagua ujenzi wa daraja hilo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakizungumza na Msimazi Mkuu wa ujenzi wa daraja la mto Malagarasi baada ya kukagua ujenzi wa daraja hilo linalounganisha mikoa ya Tabora na Kigoma. Walikuwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Daraja mto Malagarasi linalojengwa na Kampuni kutoa Korea Kusini . Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alikagua daraja hilo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 5, 2013.Ujunzi wa daraja hilo umekamilika kwa zaidi ya asilimia 90. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakitazama ngoma ya wanawake wa Nguruka wilayani Uvinza kabla kuhutubia mkutano wa hadhara wakiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 25, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wananchi wa Tarafa ya Nguruka wilayani Uvinza kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara katika tarafa hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwahutubia wananchi wa Nguruka wilayani Uvinza akaiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Baadhi ya wazee wa Tarafa ya Nguruka wilayani Uvinza wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati alipowahutubia wananchi wa tarafa hiyo akiwa katika ziara ya mkoa wa Kigoma Oktoba 5, 2013. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment