Mke wa Rais Mama Salma Kikwete(kulia) akimpokea Balozi wa Japan nchini Masaki Okada(katikati). Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi(WAMA – Nakayama) Ramadhani Dau wakati alipotembelea shule hiyo leo iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa Pwani.Rais Jakaya Kikwete kulia akimpokea Balozi wa Japan nchini Masaki Okada (kushoto). Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi(WAMA – Nakayama) wakati walitembelea shule hiyo leo iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa Pwani.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete(kulia) akizungumza jambo na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada(kushoto ). Katikati ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi(WAMA – Nakayama) Ramadhani Dau wakati walitembelea shule hiyo leo iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa Pwani.Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mwalimu wa masomo ya Kiingereza na Uraia wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi(WAMA – Nakayama) Sophia Shafii wakati alipotembelea shule hiyo leo iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa Pwani.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete( wa tatu kushoto) na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada( wa pili kulia) wakitia saini mkataba wa msaada wa kutayarisha vifaa vya maabara, ujenzi wa zahanati na kutoa mtambo wa maji wa kutumia jenereta wenye thamani milioni 170 kwenye Shule ya Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi(WAMA – Nakayama) . Kulia wa kwanza ni Rais Jakaya Kikwete na kushoto wa pili ni Mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo ,Ramadhani Dau . Kushoto wa kwanza ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Suma Mensah. Hafla fupi hiyo iliyafanyika leo katika shule hiyo iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa Pwani.
Rais Jakaya Kiwete (katikati) alipokuwa akitembelea Shule ya Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi(WAMA – Nakayama) leo iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa Pwani wakati wa ziara yake .Kushoto ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Suma Mensah na kulia ni Mwenyekiti wa bodi ya shule hiyo Ramadhani Dau.Rais Jakaya Kiwete akisoma moja ya kitabu cha somo la Fizikia katika mkataba ya Shule ya Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi(WAMA – Nakayama) leo iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa Pwani wakati alipotembelea shule hiyo katika ziara yake.Kulia ni Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Suma Mensah.Mke wa Rais Mama Salma Kikwete(aliyevaa kitenge) akizungumza jambo na Balozi wa Japan nchini Masaki Okada( wa pili kushoto) wakati alipokuwa akitembelea Shule ya Sekondari ya Wasichana ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira hatarishi(WAMA – Nakayama) Ramadhani Dau wakati walitembelea shule hiyo leo iliyopo wilayani Rufiji mkoa wa Pwani.
Picha zote na Magreth Kinabo – Maelezo.
0 comments:
Post a Comment