Waziri
Mkuu akiwapungia wananchi wa Kigoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa
ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku sita mkoani humo Oktoba 1,
2013.Kulia kwake ni mkewe Tunu na Kushoto ni Mkuu wa mkoa huo, Luteni
Kanali, Issa Machibya . Kulia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Kigoma,
Dokta W. Kaborou.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya wajumbe wa kamati ya
Ulinzi na Usalama ya Mkoa wa Kigoma baada ya kuwasili kwenye uwanja wa
ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku sita Oktoba 1, 2013(picha na Ofisi ya
waziri Mkuu) Wanawake
wa Kigoma wakicheza ngoma wakati Waziri Mkuu Mizengo Pinda
alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kigoma kwa ziara ya siku sita
Oktoba 1, 2013. (Picha na Ofisi ya waziri Mkuu)
0 comments:
Post a Comment