Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akimkabidhi zawadi ya
ngao Balozi wa Marekani Nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt
(kulia) kwa ushirikiano wake aliutoa kwa Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi wakati wa uongozi wake nchini. Wapili kushoto ni Katibu Mkuu wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, na kushoto ni Naibu
Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Malimi Malemi. Waziri Nchimbi pamoja na
Watendaji Wakuu wa wizara yake walimuaga balozi huyo katika Ukumbi wa
Mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix
Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akiteta jambo
na Balozi wa Marekani nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt
kabla ya hafla fupi ya kumuaga balozi huyo aliyemaliza muda wake wa
uongozi nchini. Waziri Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara yake
walimuaga balozi huyo katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo jijini
Dar es Salaam leo. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akitoa maelezo mafupi ya
kumshukuru Balozi wa Marekani Nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso
Lenhardt (kulia) kwa ushirikiano wake aliutoa kwa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi wakati wa uongozi wake nchini. Wapili kushoto ni Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil, na kushoto
ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Malimi Malemi. Waziri Nchimbi
pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara yake walimuaga balozi huyo katika
Ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo. Picha na
Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (katikati kushoto) akiwa
na Balozi wa Marekani nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso Lenhardt
(katikati kulia) pamoja na Watendaji Wakuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani
ya Nchi wakiwa katika hafla fupi ya kumuaga balozi Lenhardt. Waziri
Nchimbi pamoja na Watendaji Wakuu wa wizara yake walimuaga balozi huyo
katika Ukumbi wa Mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo. Picha
na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (wa pili kulia
waliokaa), Balozi wa Marekani nchini aliyemaliza muda wake, Alfonso
Lenhardt (wa pili kushoto waliokaa), Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya
Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil (kulia), Naibu Balozi wa Marekani
nchini, Virginia Blaser (kushoto), Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo,
Malimi Malemi (wane kulia waliosimama) pamoja na Watendaji Wakuu wa
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya
hafla fupi ya kumuaga Balozi Lenhardt. Waziri Nchimbi pamoja na
Watendaji Wakuu wa wizara yake walimuaga balozi huyo katika Ukumbi wa
Mikutano wa wizara hiyo jijini Dar es Salaam leo. Picha na Felix
Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
0 comments:
Post a Comment