Wednesday, October 2, 2013

PIX 1Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Wahamiaji (IOM) Kanda ya Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika, Ashraf El Nour alimpomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo kwa lengo la kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali ya wahamiaji. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa IOM nchini, Damien Thuriaux. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
PIX 2Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimfafanulia jambo Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Wahamiaji (IOM) Kanda ya Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika, Ashraf El Nour alimpomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo. Kiongozi huyo wa IOM alifika ofisini kwa Dk Nchimbi kwa lengo la kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali ya wahamiaji. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
PIX 3Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto) akimshukuru Mkurugenzi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linalohusika na Wahamiaji (IOM) Kanda ya Afrika Mashariki na Pembe ya Afrika, Ashraf El Nour kwa kumtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo kwa lengo la kubadilishana mawazo kuhusiana na masuala mbalimbali ya wahamiaji. Kulia ni Mwakilishi Mkazi wa IOM nchini, Damien Thuriaux. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video