Friday, October 4, 2013


sabasabatpbkaziDAR ES SALAAM
Wananchi wamepewa changamoto ya kutumia taasisi za kifedha kuweka akiba ya pesa wanazozipata kupitia shughuli mbalimbali za uzalishaji mali.
Mkurugenzi mtendaji  wa Benki ya posta tanzania SABA-SABA MOSHINGI amesema bado taasisi za kifedha zina wajibu mkubwa kujenga utamaduni kwa wananchi kutumia huduma za kibenki.
Mkurugenzi huyo  amesema benki hiyo itaendelea kusaidia vikoba mbalimbali nchini kwa malengo ya kuinua wajasiliamari walioamua kujiajiri wenyewe.
Bwana Moshingi amesema benki hiyo imekuwa mstari wa mbele katika kutatua vikwazo mbalimbali vinavyowakabili wananchi hasa vikundi vya vikoba ambavyo vimekuwa msingi  wa kujikwamua kiuchumi kwa  wananchi wa kipato cha chini

0 comments:

 
voyeur porn porn movies sex videos hd porno video