Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Rehema Nchimbi (kushoto) akikagua timu ya kamba ya Uhamiaji kabla ya kucheza fainali na timu ya Ikulu. katika michezo ya SHIMIWI iliyokuwa ikifanyika mkoani MorogoroNaibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa Umma Bw.HAB Mkwizu (kushoto) akikagua timu ya kamba ya Uhamiaji kabla ya kucheza fainali na timu ya Ikulu.Timu ya kamba ya Uhamiaji ikimenyana na timu ya kamba ya Ikulu (haipo pichani) katika fainali za mashindano ya SHIMIWI yaliyofanyika mwishoni mwa wiki mjini DodomaTimu ya kamba ya Ikulu ikimenyana na timu ya kamba ya Uhamiaji (haipo pichani)katika fainali za mashindano ya SHIMIWI yaliyofanyika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.Watumishi wa Uhamiaji wakiwa katika maandamano ya kufunga mashindano ya SHIMIWI mwishoni mwa wiki mjini DodomaViongozi waandamizi serikalini wakipokea maandamano ya kufunga rasmi mashindano ya SHIMIWI mjini Dodoma mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.Watumishi wa Uhamiaji wakiwa katika hafla ya kujipongeza baada ya kunyakua ushindi wa nne katika uvutaji kamba katika mashindano ya SHIMIWI mjini Dodoma.Kamishna Mkuu wa Uhamiaji Bw.Ambokile Sylvester akiongea na watumishi wake wakati wa hafla ya kuwapongeza kwa kushiriki vizuri mashindano ya SHIMIWI, hafla ilifanyika ukumbi wa St.Gaspar mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.
Home
»
»Unlabelled
» UHAMIAJI YANYAKUA USHINDI WA NNE SHIMIWI
Monday, October 7, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment