Thursday, October 17, 2013



1 
Katibu Mkuu wa Wizara ya  Sayansi Tekinolojia na Mawasiliano Profesa Patrick Makungu akifungua semina ya siku tatu inayokutanisha Wataalamu mbalimbali wa TEHAMA kutoka nchi za (SADC) zinazounganishwa na taasisi ya  Southern Africa Telecommunications Association. (SATA) ili kujadili namna  ya kuzuia Wizi na uhalifu kupitia kwenye mtandao (Fraud Management, Revenue Assurance and Network/Cyber Security) inayofanyika kwenye hoteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es salaam ikishirikisha makampuni ya simu katika nchi za kusini mwa Afrika, Katika semina hiyo kumeripotiwa wizi wa fedha unaofikia asilimia 8% mpaka 13% ikiwa ni pamoja na uhalifu mwingine, Semina hiyo imeandaliwa kwa  pamoja na Kampuni ya Simu ya TTCL ikishirikiana na Taasisi ya  Southern Africa Telecommunications Association. (SATA)PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-KUNDUCHI2Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL Dr. Kamugisha Kazaura akizungumza katika semina hiyo wakati akiwakaribisha washiriki wa semina hiyo inayofanyika kwenye honteli ya Kunduchi Beach jijini Dar es salaam. 8 
Baadhi ya washiriki wa semina hiyo wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na watoa mada.7 
Jacob Munodawafa Katibu Mkuu wa taasisi ya Southern Africa Telecommunications Association.(SATA) akizungumza katika semina hiyo wakati akizungumzia malengo ya SATA kufanya semina hiyo kwa wadau wake.3 
Baadhi ya washiriki wakiwa katika semina hiyo leo 4 
Baadhi ya wakuu wa vitengo wa kampuni ya simu TTCL wakiwa katika semina hiyo 5 
Katibu Mkuu wa Wizara ya  Sayansi Tekinolojia na Mawasiliano Profesa Patrick Makungu akiandika baadhi ya mambo muhimu katika semina hiyo kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Simu ya TTCL Dr. Kamugisha Kazaura akizungumza 6 
Katibu Mkuu wa Wizara ya  Sayansi Tekinolojia na Mawasiliano Profesa Patrick Makungu akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa semina hiyo.

0 comments:

 
https://www.sexmutant.com/ https://www.sexindrag.com/ porn movies sex videos hd porno video