Rais
Dkt. Jayaka Mrisho Kikwete akikagua sehemu mbalimbali za kiwanda cha
chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013

Rais Jayaka Mrisho Kikwete akifurahia na mkurugenzi wa kampuni ya mufindi tea & coffee limited, Ndg. Noel Lindsay Smith, baada ya kufungua kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo Oktoba 18, 2013

Rais
Jayaka Mrisho Kikwete akihutubia mkutano wa hadhara baada ya kufungua
kiwanda cha chai cha Ikanga wilaya ya Njombe baada ya kukifungua leo
Oktoba 18, 2013
PICHA NA IKULU
0 comments:
Post a Comment